Developer: Quran Audio Library (14)
Price: Free
Rankings: 0 
Reviews: 0 Write a Review
Lists: 0 + 0
Points: 0 + 0 ¡
Google Play

Description

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي
Unaweza kupakua Programu na kuvinjari Qur'ani Tukufu pamoja na tafsiri (Hapa jina la lugha) kwa njia rahisi na nyepesi zaidi na kwa ubunifu mzuri wa kuvutia, uliobuniwa na wachoraji mahiri wa mapambo ya Qur'ani katika ulimwengu kwa muonekano wa kuvutia.

***Vipengele vya Apilikesheni***
- Wepesi wa kutumia ukurasa na imerahisishwa kwa kiwango cha hali ya juu.
- Utafutaji wa haraka zaidi, utafutaji katika aya za Qur'ani na katika majina ya sura na Juzuu.
- Kusoma Qur'ani, furahia kisomo cha Qur'ani Tukufu kutoka katika nakala iliyohakikiwa, iliyobuniwa kwa ubunifu mzuri na wa kuvutia.
- Tafsiri ya maana ya maneno ya Qur'ani Tukufu, ifahamu Qur'ani Tukufu kwa lugha yako kupitia tafsiri ya maana yake katika lugha ya Kiswahili
- Lugha mbali mbali, vinjari programu kwa lugha yako au kwa lugha unayopenda kuitumia katika Msahafu.
- Visomo, Kusikiliza kisomo cha Qur'ani Tukufu kwa sauti za wasomaji mashuhuri na wenye visomo vitamu.
- Kicheza sauti cha hali ya juu: Opereta inakupa uwezo wa hali ya juu, mfano kurudia rudia kwa ajili ya kukusaidia kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
- Vituo: Kuongeza alama za marejeo na kuziongoza, kwa ajili ya wepesi wa kurejea katika sehemu za kusimama katika aya maalum.
- Vipendwa: Kuongeza idadi yoyote ya aya katika vipendwa, kwa ajili ya wepesi wa kuzirejea baadaye.
- Kuongeza maoni: Kuongeza maoni na mazingatio wakati wa kusoma Qur'ani, au kusoma tafsiri ya maana yake.
- Kushiriki: Kushiriki aya au maana yake kwa marafiki zako kupitia Apilikesheni na mitandao ya kijamii.
- Ubunifu wa kipekee: Imekamilika kuchagua rangi na mapambo ya kuvutia macho, na ubunifu wa kisasa ulionukuliwa kutoka katika tamaduni za wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili

Designed and Developed by: https://smartech.online
more ↓

Screenshots

#1. Msahafu wa Kiswahili السواحيلي (Android) By: Quran Audio Library
#2. Msahafu wa Kiswahili السواحيلي (Android) By: Quran Audio Library
#3. Msahafu wa Kiswahili السواحيلي (Android) By: Quran Audio Library
#4. Msahafu wa Kiswahili السواحيلي (Android) By: Quran Audio Library
#5. Msahafu wa Kiswahili السواحيلي (Android) By: Quran Audio Library
#6. Msahafu wa Kiswahili السواحيلي (Android) By: Quran Audio Library
#7. Msahafu wa Kiswahili السواحيلي (Android) By: Quran Audio Library
#8. Msahafu wa Kiswahili السواحيلي (Android) By: Quran Audio Library

What's new

  • Version: 1.0.5
  • Updated:
  • Tafsiri iliyohakikiwa ya maana ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiswahili

Price History

  • Today: Free
  • Minimum: Free
  • Maximum: Free
Track prices

Developer

Points

0 ☹️

Rankings

0 ☹️

Lists

0 ☹️

Reviews

Be the first to review 🌟

Additional Information

Contacts

«Msahafu wa Kiswahili السواحيلي» is a Education app for Android, developed by «Quran Audio Library». It was first released on and last updated on . This app is currently free. This app has not yet received any ratings or reviews on AppAgg. AppAgg continuously tracks the price history, ratings, and user feedback for «Msahafu wa Kiswahili السواحيلي». Subscribe to this app or follow its RSS feed to get notified about future discounts or updates.
Msahafu wa Kiswahili السواحيليMsahafu wa Kiswahili السواحيلي Short URL: Copied!
  • 🌟 Share
  • Google Play

You may also like

    • Msahafu wa Kiswahili
    • Android Apps: Education  By: NitroDev
    • * Free  
    • Lists: 0 + 0  Rankings: 0  Reviews: 0
    • Points: 0 + 0  Version: 1.1.0   Msahafu wa Kiswahili Programu hii inajumuisha yafuatayo **Tafsiri ya Quran Swahili:** Programu hii inakuruhusu kusoma Quran pamoja na tafsiri yake kwa lugha ya Kiswahili. Hii inafanya ...
        ⥯ 
    • Bookbot Africa Kiswahili
    • Android Apps: Education  By: Bookbot
    • * Free  
    • Lists: 0 + 0  Rankings: 0  Reviews: 0
    • Points: 0 + 0  Version: 3.2.62   Je, unajua kuwa kujua kusoma ukiwa darasa la tatu ni kiashiria muhimu zaidi cha kuhitimu shule, mafanikio ya baadaye, na furaha ya maisha kwa ujumla? Kwa bahati mbaya, watoto wengi ...
        ⥯ 
    • Mafunzo ya PHP kwa kiswahili
    • Android Apps: Education  By: Bongoclass
    • * Free  
    • Lists: 0 + 0  Rankings: 0  Reviews: 0
    • Points: 0 + 0  Version: 1.0.0   Hapa utajifunza kuhusu PHP na jinsi inavyoweza kutumika katika kutengeneza tovuti na blog. Mafunzo haya yameandaliwa kwa lugha ya kiswahili. App hii itaanza mafunzo haya kutoka mwanzo,
        ⥯ 
    • Jifunze Kiingereza, LPP
    • Android Apps: Education  By: Kili ITS
    • * Free  
    • Lists: 0 + 0  Rankings: 0  Reviews: 0
    • Points: 0 + 0  Version: 2.0.2   Jifunze na jikumbushe kiingereza kwa kufanya mazoezi na kucheza games. App hii imetengezwa ili kumsaidia muongeaji wa Kiswahili kujifunza na kufanya mazoezi ya topics mbali mbali ...
        ⥯ 
    • Kiingereza - Hatua kwa Hatua
    • Android Apps: Education  By: Educational Exports Ltd
    • * Free  
    • Lists: 0 + 0  Rankings: 0  Reviews: 0
    • Points: 0 + 0  Version: 0.1.2   Kiingereza Hatua kwa Hatua ni kozi ya Kiingereza ya wanaoanza, iliyoundwa mahususi kwa wazungumzaji wa Kiswahili. Inachukuliwa hakuna maarifa ya awali ya Kiingereza. Kuna hatua kumi, ...
        ⥯ 
    • MSOMI BORA APP
    • Android Apps: Education  By: Kaka Doctor Company
    • * Free  
    • Lists: 0 + 0  Rankings: 0  Reviews: 0
    • Points: 0 + 0  Version: 1.0   Msomi Bora App ni suluhisho la kisasa lililotengenezwa kwa ajili ya wanafunzi wote wanaopenda mafanikio. Kupitia app hii, mwanafunzi unaweza kupata notes na material mbalimbali kwa ...
        ⥯ 
    • Shule Direct Kids
    • Android Apps: Education  By: Shule Direct Limited
    • Free  
    • Lists: 0 + 0  Rankings: 0  Reviews: 0
    • Points: 0 + 0  Version: 1.9.64   Shule Direct Kids ni app iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzania. App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza ...
        ⥯ 
    • Nyota Zetu
    • Android Apps: Education  By: ONESTORE TECHNOLOGIES LIMITED
    • Free  
    • Lists: 0 + 0  Rankings: 0  Reviews: 0
    • Points: 0 + 0  Version: 3.0.1   Karibu kwenye Nyota Zetu, app bora inayokupa mwongozo wa kila siku kupitia usomaji wa nyota zako na tafsiri za ndoto zako. Bila kujali alama yako ya zodiaki, tunakupa ushauri wa ...
        ⥯ 
    • Mtabe
    • Android Apps: Education  By: Kinara Technologies
    • Free  
    • Lists: 0 + 0  Rankings: 0  Reviews: 0
    • Points: 0 + 0  Version: 111.0.0   Karibu kwenye Mtabe, jukwaa lenye nguvu la kujifunza ambalo linafaa kwa kila mtu, kutoka kwa walimu hadi wanafunzi. Ikiwa unatafuta mazingira yanayofaa ya kufundisha na vifaa vya ...
        ⥯ 
    • Sheria Kiganjani
    • Android Apps: Education  By: Bluefin Solutions ltd
    • Free  
    • Lists: 0 + 0  Rankings: 0  Reviews: 0
    • Points: 0 + 0  Version: 2.0   SHERIA KIGANJANI ni mradi uliobuniwa kwa pamoja na wanasheria na wataalamu wa teknolojia ya habari na mawasiliano kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa msaada wa kisheria kwa watu ...
        ⥯ 
    • Jifunze Udereva Sahihi
    • Android Apps: Education  By: Luqman Technologies Limited
    • * Free  
    • Lists: 1 + 0  Rankings: 0  Reviews: 0
    • Points: 1 + 0  Version: 24.0   Zijue alama na michoro barabarani, ishara za trafiki polisi barabarani, Jifunze udereva wa kujihami, na pata maswali na majibu ambayo huulizwa katika utahini/mitihani ya udereva na ...
        ⥯ 

You may also like

Search operators you can use with AppAgg
Add to AppAgg
AppAgg
Start using AppAgg. It’s 100% Free!
Sign Up
Sign In