| 开发人员: | Quran Audio Library (14) | ||
| 价格: | 免费 | ||
| 排名: | 0 | ||
| 评价: | 0 我要评价 | ||
| 列表: | 0 + 0 | ||
| 积分: | 0 + 0 ¡ | ||
| Google Play | |||
说明
***Vipengele vya Apilikesheni***
- Wepesi wa kutumia ukurasa na imerahisishwa kwa kiwango cha hali ya juu.
- Utafutaji wa haraka zaidi, utafutaji katika aya za Qur'ani na katika majina ya sura na Juzuu.
- Kusoma Qur'ani, furahia kisomo cha Qur'ani Tukufu kutoka katika nakala iliyohakikiwa, iliyobuniwa kwa ubunifu mzuri na wa kuvutia.
- Tafsiri ya maana ya maneno ya Qur'ani Tukufu, ifahamu Qur'ani Tukufu kwa lugha yako kupitia tafsiri ya maana yake katika lugha ya Kiswahili
- Lugha mbali mbali, vinjari programu kwa lugha yako au kwa lugha unayopenda kuitumia katika Msahafu.
- Visomo, Kusikiliza kisomo cha Qur'ani Tukufu kwa sauti za wasomaji mashuhuri na wenye visomo vitamu.
- Kicheza sauti cha hali ya juu: Opereta inakupa uwezo wa hali ya juu, mfano kurudia rudia kwa ajili ya kukusaidia kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
- Vituo: Kuongeza alama za marejeo na kuziongoza, kwa ajili ya wepesi wa kurejea katika sehemu za kusimama katika aya maalum.
- Vipendwa: Kuongeza idadi yoyote ya aya katika vipendwa, kwa ajili ya wepesi wa kuzirejea baadaye.
- Kuongeza maoni: Kuongeza maoni na mazingatio wakati wa kusoma Qur'ani, au kusoma tafsiri ya maana yake.
- Kushiriki: Kushiriki aya au maana yake kwa marafiki zako kupitia Apilikesheni na mitandao ya kijamii.
- Ubunifu wa kipekee: Imekamilika kuchagua rangi na mapambo ya kuvutia macho, na ubunifu wa kisasa ulionukuliwa kutoka katika tamaduni za wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili
Designed and Developed by: https://smartech.online
屏幕截图








价格
- 今天: 免费
- 最小值: 免费
- 最大值: 免费
可选
开发人员
- Quran Audio Library
- 平台: Android 应用 (14)
- 列表: 3 + 0
- 积分: 8 + 47,143 ¡
- 排名: 0
- 评价: 0
- 折扣: 0
- 视频: 1
- RSS: 订阅
积分
0 ☹️
排名
0 ☹️
列表
0 ☹️
评价
抢先评价一下吧 🌟
其他信息
- 版本: 1.0.5
- 类别:
Android 应用›教育 - 操作系统:
Android 7.0 - 大小:
24 Mb - 内容分级:
Everyone - Google Play 评分:
0 - 已更新:
- 发布日期:
通讯录
- 🌟 分享
- Google Play
您可能还喜欢
-
- Msahafu wa Kiswahili
- Android 应用: 教育 来自: NitroDev
- * 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 0 版本: 1.1.0 Msahafu wa Kiswahili Programu hii inajumuisha yafuatayo **Tafsiri ya Quran Swahili:** Programu hii inakuruhusu kusoma Quran pamoja na tafsiri yake kwa lugha ya Kiswahili. Hii inafanya ... ⥯
-
- Kiswahili Lugha Form 1-4
- Android 应用: 教育 来自: Schule.co.ke (Formerly Revision Ke)
- 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 0 版本: 0.2.7 Marudio ya Kiswahili: 1. Kusikiliza na kuzungumza - Matamshi bora - Maamkizi na mazungumzo 2. Sarufi na Matumizi ya Lugha. - Lugha - Misingi ya maneno - Aina za Maneno - Ngeli - Umoja ... ⥯
-
- Bookbot Africa Kiswahili
- Android 应用: 教育 来自: Bookbot
- * 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 0 版本: 3.2.62 Je, unajua kuwa kujua kusoma ukiwa darasa la tatu ni kiashiria muhimu zaidi cha kuhitimu shule, mafanikio ya baadaye, na furaha ya maisha kwa ujumla? Kwa bahati mbaya, watoto wengi ... ⥯
-
- Mafunzo ya PHP kwa kiswahili
- Android 应用: 教育 来自: Bongoclass
- * 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 0 版本: 1.0.0 Hapa utajifunza kuhusu PHP na jinsi inavyoweza kutumika katika kutengeneza tovuti na blog. Mafunzo haya yameandaliwa kwa lugha ya kiswahili. App hii itaanza mafunzo haya kutoka mwanzo, ⥯
-
- Furahia kujifunza Kiswahili!
- Android 应用: 教育 来自: Internet Publishing Service, East Africa
- 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 0 版本: 1.7.5.nrt Je, ungependa kujifunza kusoma na kuandika kwa Kiswahili? Je, ungependa mtoto wako ajifunze kusoma na kuandika kwa Kiswahili? Programu hii hufundisha sauti na herufi za Kiswahili ... ⥯
-
- Jifunze Kiingereza, LPP
- Android 应用: 教育 来自: Kili ITS
- * 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 0 版本: 2.0.2 Jifunze na jikumbushe kiingereza kwa kufanya mazoezi na kucheza games. App hii imetengezwa ili kumsaidia muongeaji wa Kiswahili kujifunza na kufanya mazoezi ya topics mbali mbali ... ⥯
-
- Kiingereza - Hatua kwa Hatua
- Android 应用: 教育 来自: Educational Exports Ltd
- * 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 0 版本: 0.1.2 Kiingereza Hatua kwa Hatua ni kozi ya Kiingereza ya wanaoanza, iliyoundwa mahususi kwa wazungumzaji wa Kiswahili. Inachukuliwa hakuna maarifa ya awali ya Kiingereza. Kuna hatua kumi, ... ⥯
-
- MSOMI BORA APP
- Android 应用: 教育 来自: Kaka Doctor Company
- * 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 0 版本: 1.0 Msomi Bora App ni suluhisho la kisasa lililotengenezwa kwa ajili ya wanafunzi wote wanaopenda mafanikio. Kupitia app hii, mwanafunzi unaweza kupata notes na material mbalimbali kwa ... ⥯
-
- Ticha Zungu - Jifunze English
- Android 应用: 教育 来自: Increate Technologies Company LTD
- 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 2,685 (4.7) 版本: 1.2.5 JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI MTANDAONI NA TICHA ZUNGU! > Daunlodi aplikesheni ya Ticha Zungu ili uanze kujifunza Kiingereza cha kusoma, kuongea, kusikia, na kuandika mda wowote, ... ⥯
-
- Shule Direct Kids
- Android 应用: 教育 来自: Shule Direct Limited
- 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 0 版本: 1.9.64 Shule Direct Kids ni app iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzania. App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza ... ⥯
-
- Nyota Zetu
- Android 应用: 教育 来自: ONESTORE TECHNOLOGIES LIMITED
- 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 0 版本: 3.0.1 Karibu kwenye Nyota Zetu, app bora inayokupa mwongozo wa kila siku kupitia usomaji wa nyota zako na tafsiri za ndoto zako. Bila kujali alama yako ya zodiaki, tunakupa ushauri wa ... ⥯
-
- Mtabe
- Android 应用: 教育 来自: Kinara Technologies
- 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 0 版本: 111.0.0 Karibu kwenye Mtabe, jukwaa lenye nguvu la kujifunza ambalo linafaa kwa kila mtu, kutoka kwa walimu hadi wanafunzi. Ikiwa unatafuta mazingira yanayofaa ya kufundisha na vifaa vya ... ⥯
-
- Sheria Kiganjani
- Android 应用: 教育 来自: Bluefin Solutions ltd
- 免费
- 列表: 0 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 0 + 0 版本: 2.0 SHERIA KIGANJANI ni mradi uliobuniwa kwa pamoja na wanasheria na wataalamu wa teknolojia ya habari na mawasiliano kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa msaada wa kisheria kwa watu ... ⥯
-
- Jifunze Udereva Sahihi
- Android 应用: 教育 来自: Luqman Technologies Limited
- * 免费
- 列表: 1 + 0 排名: 0 评价: 0
- 积分: 1 + 0 版本: 24.0 Zijue alama na michoro barabarani, ishara za trafiki polisi barabarani, Jifunze udereva wa kujihami, na pata maswali na majibu ambayo huulizwa katika utahini/mitihani ya udereva na ... ⥯