Developer:
Price: * * Free
Rankings: 0 
Reviews: 0 Write a Review
Lists: 0 + 0
Points: 0 + 27,277 (4.7) ¡
Google Play

Description

Biblia Takatifu, Swahili Bible
Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) Agano la Kale na Jipya

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

Agano la Kale
Kimsingi vitabu vya Agano la Kale ni vilevile vya Biblia ya Kiebrania, ingawa madhehebu ya Kikristo hutofautiana kidogo katika hilo. Ni kwamba wakati wa kutokea kwa Ukristo palikuwa na tofauti ndani ya Uyahudi kuhusu vitabu vilivyohesabiwa kuwa maandiko matakatifu. Suala hilo liliondolewa kuanzia mwaka 80 BK wataalamu wa Wayahudi wa huko Jabneh (Jamnia) walipochukua msimamo mkali dhidi ya wafuasi wa Yesu.
Kwa wakati huo Wakristo walikuwa wamezoea tayari toleo la Kigiriki la maandiko matakatifu yaliyotafsiriwa katika karne ya 2 KK ambalo linajulikana kwa jina la Septuaginta na kuwa na vitabu kadhaa visivyokuwa vimetunzwa katika lugha asili ya Kiebrania wala ya Kiaramu, au vilivyoandikwa moja kwa moja katika lugha ya Kigiriki.
Hivyo Biblia ya Kikristo ilikuwa na vitabu 7 (viwili vya Wamakabayo, Yoshua bin Sira, Hekima, Tobiti, Yudith na Baruku, pamoja na sehemu za Esta na Danieli) visivyokubaliwa baadaye na Wayahudi.

Vitabu hivyo 7 vikaja kukataliwa na Martin Luther katika karne ya 16, halafu na Waprotestanti wengi, lakini vinazidi kutumiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kwa jina la Deuterokanoni.

Agano Jipya
Kuna vitabu 27 vya Agano Jipya. Vinne vya kwanza ni Injili nne zinazoleta habari za maisha, matendo na maneno ya Yesu.
Vingine ni Matendo ya Mitume, Nyaraka za Mitume, hasa Mtume Paulo, na Ufunuo wa Yohane.
more ↓

Screenshots

#1. Biblia Takatifu, Swahili Bible (Android) By: Igor Apps
#2. Biblia Takatifu, Swahili Bible (Android) By: Igor Apps
#3. Biblia Takatifu, Swahili Bible (Android) By: Igor Apps
#4. Biblia Takatifu, Swahili Bible (Android) By: Igor Apps
#5. Biblia Takatifu, Swahili Bible (Android) By: Igor Apps
#6. Biblia Takatifu, Swahili Bible (Android) By: Igor Apps
#7. Biblia Takatifu, Swahili Bible (Android) By: Igor Apps
#8. Biblia Takatifu, Swahili Bible (Android) By: Igor Apps
#9. Biblia Takatifu, Swahili Bible (Android) By: Igor Apps
#10. Biblia Takatifu, Swahili Bible (Android) By: Igor Apps

What's new

  • Version: 6.1.0
  • Updated:
  • We fixed bugs and improved performance.

Price

Track prices

Developer

Points

Not found ☹️

Rankings

Not found ☹️

Lists

Not found ☹️

Reviews

Be the first to review 🌟

Additional Information

«Biblia Takatifu, Swahili Bible» is a Books & Reference app for Android, developed by «Igor Apps». It was first released on and last updated on . This app is currently free to download. This app has not yet received any ratings or reviews on AppAgg. On Google Play, the current store rating is 4.7 based on 27,277 votes. AppAgg continuously tracks the price history, ratings, and user feedback for «Biblia Takatifu, Swahili Bible». Subscribe to this app or follow its RSS feed to get notified about future discounts or updates.
Biblia Takatifu, Swahili BibleBiblia Takatifu, Swahili Bible Short URL: Copied!

You may also like

    • Swahili-Eng - Biblia Takatifu
    • Android Apps: Books & Reference  By: Awesomecode Tanzania
    • Free   
    • Lists: 0 + 0   Rankings: 0   Reviews: 0
    • Points: 0 + 2,906 (4.8)   Version: 2 . 1 . 8   Swahili-English Bible (Biblia Takatifu) inakuwezesha kusoma neno la Mungu kwa urahisi mahali popote. Swahili-English Bible (Biblia Takatifu) it enables you to read a word of God easily
        ⥯ 
    • Audio Bible Swahili offline
    • Android Apps: Books & Reference  By: Audio Religious Book
    • * * Free   
    • Lists: 0 + 0   Rankings: 0   Reviews: 0
    • Points: 0 + 720 (4.7)   Version: 3.1.1523   Biblia ni jina la jumla kwa ajili ya vitabu vitakatifu vya dini ya Uyahudi na hasa ya Ukristo. Neno limetokana na lugha ya Kigiriki ambayo ndani yake βιβλία (biblia) ina maana ya ...
        ⥯ 
    • Qurani Quran Tukufu in Swahili
    • Android Apps: Books & Reference  By: Holy Quran Apps
    • * Free   
    • Lists: 0 + 0   Rankings: 0   Reviews: 0
    • Points: 0 + 5,164 (4.7)   Version: 25.03   Qurani (Qur'an) (Quran katika Kiswahili) Tarjuma ya Qur'ani Tukufu Kwa Kiswahili Translation of The Holy Qur'an to Swahili Language Qur'an (kwa Kiarabu: القرآن) ni kitabu kitukufu cha ...
        ⥯ 
    • Kiswahili Bibilia Takatifu
    • Android Apps: Books & Reference  By: Biblica, Inc.
    • Free   
    • Lists: 0 + 0   Rankings: 0   Reviews: 0
    • Points: 0 + 404 (3.7)   Version: 2.2   Soma Biblia Takatifu kwenye programu yetu ya Biblia isiyolipishwa. Haina matangazo na hutatozwa ada zozote. Ina vipengele vifuatavyo: Toleo la Kiingereza la Biblica New International ...
        ⥯ 
    • Kua Kiroho SDA. Lesoni — 2025
    • Android Apps: Books & Reference  By: Joseph Mazala
    • * * Free   
    • Lists: 0 + 0   Rankings: 0   Reviews: 0
    • Points: 0 + 1,358 (5.0)   Version: 2.7.0   Kua Kiroho ni programu tumishi yenye mpango endelevu wa kuwa kituo chenye hamasa katika kuleta ustawi wa kiroho. Kwa waadventista wasabato pata huduma ya Lesoni kwa mwaka mzima, Robo ...
        ⥯ 
    • Lesoni
    • Android Apps: Books & Reference  By: Joshua Kanyamanza
    • Free   
    • Lists: 0 + 0   Rankings: 0   Reviews: 0
    • Points: 0 + 3,638 (4.8)   Version: 1.1.6   Download Lesoni, Mwongozo wa kujifunza Biblia kwa watu wazima. Application ya simu kwaajili ya kumwezesha mtumiaji wa simu ya mkononi au tablet kupata masomo ya Lesoni (Mwongozo wa ...
        ⥯ 
    • Mungu Kwanza: Vitabu Vyote SDA
    • Android Apps: Books & Reference  By: Deonhub
    • Free   
    • Lists: 0 + 0   Rankings: 0   Reviews: 0
    • Points: 1 + 259 (4.2)   Version: 3.3.1   Mungu Kwanza ni app inayomilikiwa na HHES (Home Health Education Service) Jimbo la kusini mwa Tanzania, Chini ya kanisa la waadventista wa sabato (SDA Church). Kwa njia ya vitabu ndani
        ⥯ 

You may also like

Search operators you can use with AppAgg
Add to AppAgg
AppAgg
Start using AppAgg. It’s 100% Free!
Sign Up
Sign In