Vývojář: EL Technologies (2)
Cena: Zdarma
Hodnocení: 0 
Recenze: 0 Napsat recenzi
Komentáře: 0 Přidat komentář
Seznamy: 0 + 0
Body: 0 + 0 ¡
Google Play

Popis

Nuru Yetu
Karibu kwenye msaidizi wako wa kiroho wa kila siku!

Programu hii inakupa Biblia Takatifu, Lessoni, na Nyimbo za Kristo zote katika sehemu moja. Iwe unasoma Neno la Mungu, unajiandaa na masomo ya shule ya sabato, au unaimba nyimbo za ibada — vyote vinapatikana kwa urahisi kwenye simu yako.

📖 Vipengele:
- Biblia bila intaneti – Soma Biblia wakati wowote, hata bila mtandao.
- Lessoni – Fuata masomo ya kila wiki kwa mpangilio wa sabato.
- Nyimbo za Kristo – Nyimbo nyingi za injili kwa ajili ya ibada.

Muonekano rahisi – Inafaa kwa watu wa rika zote.

Tunaendelea kuboresha programu. Tafadhali tuachie maoni au mapendekezo ili tuweze kukuhudumia vizuri zaidi!
Víc ↓
Ad

Snímky obrazovky

#1. Nuru Yetu (Android) Podle: EL Technologies
#2. Nuru Yetu (Android) Podle: EL Technologies
#3. Nuru Yetu (Android) Podle: EL Technologies
#4. Nuru Yetu (Android) Podle: EL Technologies
#5. Nuru Yetu (Android) Podle: EL Technologies

Novinky

  • Verze: 1.1.8
  • Aktualizováno:
  • Katika toleo hili, kwa neema ya Mungu, tumeboresha app kwa matumizi bora zaidi:
    - Lesoni za Kiingereza, aina mbalimbali za lesoni na nyimbo kutoka kwenye kitabu kikubwa.
    - Kusoma lesoni offline, kubadili ukubwa wa maandishi na kuonyesha nyimbo kwa vikundi.
    - Kufunguka moja kwa moja kwenye mstari wa Biblia unapokuwa unasoma lesoni.
    - Vitendo vya mstari wa Biblia: highlight (rangi tofauti), bookmark, notes, share na kupiga mstari.

    Endelea kubarikiwa, na heri ya mwaka mpya 🙏

Komentáře (0)

Buďte první, kdo okomentuje 🌟

Cena

  • Dnes: Zdarma
  • Minimální: Zdarma
  • Maximální: Zdarma
Sledovat ceny
Ad

Vývojář

Body (0)

0 ☹️

Hodnocení (0)

0 ☹️

Seznamy (0)

0 ☹️
  • Nuru Yetu

Recenze (0)

Buďte první, kdo bude hodnotit 🌟

Další informace

Kontakty

Nuru YetuNuru Yetu Krátká adresa URL: Zkopírováno!
  • 🌟 Sdílet
  • Google Play

Mohlo by se Vám také líbit

Mohlo by se Vám také líbit

Vyhledávací operátory, které můžete použít v AppAggu
Přidat do AppAgg
AppAgg
Začněte – je to zdarma.
Registrace
Přihlásit se